Gari yangu AC ilikuwa imekufa kabisa. Nilifika Highway Autosolutions wakaifanya diagnosis proper. After refill na repair, AC sasa ni baridi sana. Very professional team, na hawakuni-overcharge.
Peter Wekesa - Bungoma
Nilipoteza smart key yangu completely. I was stressed sana. Wao walinisaidia with key programming na replacement within a short time. Service ilikuwa fast na staff walikuwa very friendly.
Mercy Wangari - Malaba
Transmission ya gari yangu ilikuwa inaleta shida. Walinielezea problem step by step kabla ya repair. After service, gari ina-shift smoothly. Good honest mechanics.
Kevin Barasa – Webuye
Customer service yao ni top-notch. From reception mpaka fundi, everyone was helpful. Regular maintenance yao imenisaidia kuepuka breakdowns barabarani
Esther Akinyi – Kakamega
Nili-upgrade car audio system yangu hapo. Sound iko clean sana na installation ilikuwa neat. Hakuna rattling. Very skilled technicians
John Kariuki – Murang’a
The engine light came on during a long trip. They performed a full computerized diagnosis and explained everything clearly before repairing the issue. Very honest and skilled technicians.
John Otieno – Siaya
I had transmission issues and was worried about the cost. They explained the problem honestly and fixed only what was necessary. The car now drives smoothly.
Allan Odhiambo - Kisumu
Gari yangu ilikuwa na matatizo ya umeme ambayo mafundi wengine hawakuweza kutatua. Wao waligundua tatizo haraka na kulirekebisha kwa ustadi mkubwa. Huduma yao ni ya kuaminika.
Elijah Barasa – Chwele
Nilifunga mfumo wa alarm na kuzuia wizi kwa gari yangu. Ufungaji ulifanywa kwa ustadi na kila kitu kinafanya kazi vizuri. Ninaridhika sana
Rose Jepchirchir – Nandi Hills
Breki za gari yangu zilikuwa mbaya sana. Walizirekebisha na sasa gari inasimama vizuri bila kelele. Huduma yao ni bora.
Stephen Mwiti – Meru
Nilibadilishiwa taa za LED kwenye gari. Kazi ilifanywa vizuri na mwanga ni mkali sana. Mafundi wao wanajua kazi
Dennis Wekesa – Malava
Huduma za matengenezo ya kawaida wamekuwa wakinisaidia sana. Gari yangu sasa iko imara na sijapata breakdown kwa muda mrefu